http://projects.voanews5aitmne6gs2btokcacixclgfl43cv27sirgbauyyjylwpdtqd.onion/drc-ebola-outbreak/swahili.html?utm_medium=referral&utm_campaign=voa-special-projects&utm_source=homepage
Katika maeneo mengi , watu waliokuwa wameathirika walibakia katika jamii zao, na watu wa nje hawakuweza kufika katika maeneo yaliyo athirika, hivyo kupunguza sana idadi ya maambukizo. Lakini ikilinganishwa na mwaka 20`14, wakati wa kilele cha maambukizo huko Afrika Magharibi, Ebola ilienea kwa haraka katika miji iliyokuwa ina idadi kubwa ya watu. “Sio kwamba hakuna kabisa hatari ya maambukizo.